Recent content by mgonja.p

  1. M

    Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

    mm najiamini niko fit kupita maelezo
  2. M

    Nyie wanawake...kagueni waume....ama ma bf zenu vitu wanavyovaaaaa

    kwakweli wanaume hawawezi bila wanawake, huo ni ukweli ambao haupingiki.
  3. M

    Mapenzi matamu lakini shubiri pia

    nimeolewa na nina mtoto mmoja ila mume wangu ana wivu sana, mara nyingi tukiangalia movies au tukitoka out akiona mwanamke mrembo hupenda kumsifia na wakati mwingine kumsifia lakini mm huwa nanyamaza kimya na roho huwa inaniuma sana, lakini mm nikimsifia mwanamme akiwa amependeza hununa siku...
Back
Top Bottom