Recent content by MGONGOFIMBO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Pole pole ni katika vijana wa kitanzania wanatia aibu taifa letu....leo hii anaikataaa katiba ya wananchi na kuwasifia waliozika....ni aibu kubwa kwa kijana kutumika hivyo.....!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Good ...mtupe mwelekeo wenye uhakika....!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii ya Rais, Tujiandae na mgomo mkubwa wa madaktari

    Mgomo kuisha na madaktari kufanya kazi kwa kujituma na uzalendo ni kitu kingine ambacho kinahitaji kiongozi anayeona mbali na sio wa kutafutwa kujisafisha kwa wananchi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Arusha - Je tunaridhika na utendaji wa Godbless Lema?

    kabla ya kuangalia hayo angalia vikwazo vya dola na ccm anavyokutana navyo
Back
Top Bottom