zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Ukweli mimi ningekuwa ni Dr. Ulimboka, basi ninetoa ama\ri moja tu kuwa madakatari wote waweke chini manati yao (Stethoscopes). Mwanasiasa kumchezea dakatri ni kuhatarisha sana uhai wa taifa hili; wamezowea kuwachezea waalimu na kufanikiwa kujenga taifa la watu wajinga kiasi kuwa kazi za siasa zimebaki kuwa zao na familia zao, sasa iwapo wanataka kuahamisha mchezo huo na kuwachezea madakatri basi watajenga taifa la maiti kwa kufuta watu wote ambao siyo wa koo zao. Na hilo wengi hatutalikubali, kwani hatuwezi kuacha ndugu zetu wafutike kwa vile tu hatuna madaraka ndani ya CCM.
Alichokutana nacho Ikulu Ulimboka ni kitu kingine, nje ya matarajio yake. Wangeanza kina Mbowe, walinyamazishwa hukohuko au umesahau?