Recent content by mgonga

  1. mgonga

    JamiiForums Tanzania Kipi kinafanya wasafiri wengi kupendelea kukaa dirishani wakati wa safari?

    Kuangalia miti inavyozunguka na kurudi nyuma. 😂😂😂
  2. mgonga

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Yanga wametuacha Mbali sana upande wa Jezi

    Sijawahi kuwa mtabiri, lakini leo ngoja nijaribu kutabiri ;Mtoa post jiandae kwa matusi tu katika uzi huu🙊
  3. mgonga

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

    Nakala kwa Mange...
  4. mgonga

    JamiiForums Tanzania Yanga yaingia mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya HAIER

    Sitaki kuamini kwamba kati ya mashabiki wote wa Yanga, huna hata ndugu, rafiki, au jamaa wa karibu!! Umeamua kuwatukana wote kisa ushabiki wa mpira?? Think twice Buda!
  5. mgonga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Lazio🤔
  6. mgonga

    JamiiForums Tanzania Simba SC yazindua jezi zake kwa msimu wa 2022/23, uzi mkali sana

    Mama kimbo sc[emoji23][emoji23]sijamtaja mtu plz[emoji23]
  7. mgonga

    JamiiForums Tanzania Mayele kakosa kiatu kwa uzembe wake mwenyewe

    Kwa hiyo mpole mpaka kawa mfungaji bora alikuwa anafunga goli ngapi kila mechi?[emoji848]
  8. mgonga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu nikosee mara mbili zote?asubuhi na jioni?na sio mara ya kwanza kunitenda hivi,mwez uliopita walikauka na tshs 5500,mpaka leo nazungushwa tu
  9. mgonga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman msaada mwenye namba ya M LIPA,nàona wanatuzoea sasa!yaan hela tangu jana 22bet haijaingia
  10. mgonga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi pia nimepata hilo tatizo!nmeweka asubuhi ,haijafika,voda wakasema iko hewani,nimeweka saa hizi tena,napo hola!inachosha sana!
  11. mgonga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada jamani kuna yeyote ameweza kuweka pesa kwenye kampuni ya 22bet leo kwa mpesa?tangu asubuhi nimeshaweka 25000 na zote hazijafika kwenye account yangu
  12. mgonga

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji292]
  13. mgonga

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji87]
  14. mgonga

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji23]
  15. mgonga

    JamiiForums Tanzania Songesha wawe wawazi kwenye makato

    Hataree na nusu[emoji23]
Back
Top Bottom