Songesha wawe wawazi kwenye makato

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,062
2,288
Hii huduma ya songesha vodacom inatuumiza. Wawe wawazi kwenye makato yao. Ni huduma inaumiza mpaka ukikopa mkopo wako 30 % imezidi ndani ya muda mfupi.

Uniktumiwa hela ndani ya mkopo I aliwahi hapo hapo. Noooooool
 
Songesha ni nyoko!!! Ila wanasaidia sana unapokua umebanwa. Ole ujisahau, halafu kahela kakatumwa wakati una deni lao!!

Utaishia tu kujishika kichwa!!!
 
Ukiona mtu mzima mamaa analia uje kuna jambo
tenor (1).gif

Tigo ndio walinishinda tabia kwamba ukiwa na deni la sh 300/- la salio la kawaida na kwenye tigo pesa kuna sh 5000/- na unataka kujiunga na kifurushi cha wiki. Ukibonyeza thibitisha kujiunga na kifurushi hiki... Lile salio linavutwa kuwa salio la kawaida kisha wanakata 300 yao na unabaki na 4700 😁😁utalazimika ukanunue vocha uongeze

Huo upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Ukiona mtu mzima mamaa analia uje kuna jambo
View attachment 1683740

Tigo ndio walinishinda tabia kwamba ukiwa na deni la sh 300/- la salio la kawaida na kwenye tigo pesa kuna sh 5000/- na unataka kujiunga na kifurushi cha wiki. Ukibonyeza thibitisha kujiunga na kifurushi hiki... Lile salio linavutwa kuwa salio la kawaida kisha wanakata 300 yao na unabaki na 4700 😁😁utalazimika ukanunue vocha uongeze

Huo upuuzi kama upuuzi mwingine.
Juzi nimehangaika sana kununua bando......kila nikinunua wazee wanatuma mesej ya salio wanalamba chao nikarudia kama mara 3 ndo ikaunga na hapo deni ndo lilikua limeisha
 
Back
Top Bottom