Recent content by mgomba101

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ashikiliwa na Polisi usiku wa manane Lindi

    Sarakasi hizo ......!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

    Zakayo Ruto Kasongo Mungiki must Go!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    Kaandika Gazeti kumsifia Freeman! Uchawa mbaya sana! Uchawa ni zaidi ya kansa! Walamba asali wameanza kutoka mapangoni!
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Ahsanteni sana Nyasa sikuwahi kufikiri Hip-hop itanifikisha hapa Kisiasa!

    CDM inaenda kujifia kifo Cha Mende kama NCCR mageuzi! Fedha Fedheha mengine tunamezea! Time will tell..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    Fatma K Hana akili hata kidogo! Maoni binafsi ya Martin Maranja Masese kaya address kama ya CDM! Huu ni uzwazwa wa Hali ya juu! Fatma K anachochea UDINI.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Aiseee! Hii hukumu itachochea wizi na Ufisadi kwenye Halmashauri! PM Majaliwa alitembelea Arusha alijionea Ufisadi wa kutisha akiongozwa na RC Mongela! Leo Majizi yameachiwa! Waziri Mchengerwa ana kazi nzito kupambana na Majizi kwenye wizara yake! Serikali inapeleka pesa nyingi kwenye Halmashauri!
  7. M

    JamiiForums Tanzania DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Wametema Bungo! Nyani haoni kundule! Richmond DP World
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    wazee wa Ilimu Akhera! Tamko Halina kichwa Wala miguu!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Magufuli aliwanyoosha majizi makuu ya Escrow bila kujali dini Wala madhehebu Yao.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

    Hah hah hah! Huyu Mazinge ni kubwa J la Karne! Anazeeka na ujinga wake!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

    Mbaya zaidi wanatumiwa mashehe Ubwabwa na akina Maalim Kitumbua! Njaa na uchawa unaliangamiza Taifa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Sinza Kuna baunsa mmoja anajiita KATOMPA! Anapora watu simu na wallet kibabe kwenye sehemu za starehe zinazokesha! Jeshi la polisi kituo Cha urafiki na mabatini waanze kumsaka huyu mhalifu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi Arusha na wenzake waongezewa mashtaka

    Dr Pima na swahiba wake Ole Sabaya....watakula X mass na mwaka mpya pamoja ktk gereza la Kisongo. Hawa watu walikuwa washenzi na jeuri sana. Wanavuna walichopanda!
  14. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awasimamisha kazi Vigogo 6

    Safi sana waziri mkuu Majaliwa kwa kutumbua hiyo Mijizi! PM umekuwa msaada mkubwa kwa Rais Wetu Mpendwa SSH Bosi wa Takukuru tunataka kuona ukikunjua Makucha yako, tangu umeteuliwa umekuwa mpole sana kupita maelezo. Pia safi sana Mbunge Gambo kwa kuibua ufisadi jijini Arusha.
Back
Top Bottom