Huyo mama hana cha kupoteza kwa sababu ubunge wake hajautolea jasho ni wa kupewa tuu..!!!Lakini asijisahau sana kwa sababu siku za wabunge wa viti maalum ZINAHESABIKA.
Mwambie huyo,coz anakurupuka tu na kutufanya wengine hatufuatilii mijadala ya bunge..WABUNGE WALIOTOLEWA BUNGENI NI WAPIGANIA HAKI ZA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI MASLAHI YA VYAMA.
Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano anadhalilisha na kulitia aibu bunge letu tukufu kwa kuibeba na kuipendelea serikali bungeni waziwazi.Serikali ijayo impe uwaziri ili tujue moja.
Wahenga walisema,"nyani haoni kundule".Sishangazwi na huyu kijana wa chuo kikuu kutojua lugha ya kigeni yaani kiingerza kwa sababu kwanza ni kutokana na mfumo mbovu wa ufundishaji lugha husika katika shule zetu nyingi hapa Tanzania,lakini pili elimu ya mtu haiwezi kupimwa kwa kutojua lugha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.