Recent content by mghoshimgima

  1. M

    January Makamba naye asema tunahitaji Rais ajaye awe Dikteta

    Huyu kwanza tunasumbiri tumsurubu huju Bumbuli 2015, tumemchoka sana na hatumhitaji huyu kijana ni laana kwa taifa 2010 yeye na baba yake waliiba kura na kuhonga wapinzani apite bila kupingwa...rushwa iliyomuweka ataweza kuipiga vita??
  2. M

    Apson Mwang'onda and "The Coalition of Unclean" waendelea kutafuta Mbeleko ya Lowassa kwenda Ikulu

    Hii safari bado ndefu sana ila tutaelewana tu mwishowe...
  3. M

    Nini hatma ya Lowassa akikosa urais 2015?

    akiukosa uraisi natabiri hataishi zaidi ya mwaka mmoja Tanzania, either atahama nchi akaishi kule ulaya aliko nunua nyuma au (samahani) anaweza kuzidiwa na maradhi akafariki (too bad)
  4. M

    Mzee Makamba apingwa Bumbuli

    Kwa muda mrefu kumekuwa na mzozo kati ya mzee Yusuph Makamba na viongozi wa BAKWATA wilaya ya Lushoto kwa kuwa mzee Makamba hautambui uongozi wa BAKWATA wilaya hiyo. Mzee Makamba alianzisha taasisi yake ya dini bila ridhaa ya BAKWATA wilaya ya Lushoto lakini akafanikiwa kuisajiri bila...
  5. M

    Wassira: Urais si mama mkwe

    Inasikitisha kuona michango wa watu wengi hapa kutokua na hoja za msingi zaidi ya personal attack...vijana ushabiki umewajaa bila kujali hoja za msingi...hivi kweli mnachagua raisi kwa uzuri wa sura?? Hivi mkapa nae alikuwa handsome?? Hebu jengeni hoja za msingi sio ushabiki wa...
Back
Top Bottom