Recent content by mgayatz

  1. mgayatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wakike umri 22-26

    Natafuta mchumba wakike awe na umri kuanzia miaka 22-26 .Awe mkristo open minded na awe na kazi. Umri wangu ni miaka 30 mkazi wa Dar es salaam kazi yangu Biashara elimu yangu Degree. Atakae kuwa serious anitext inbox.
  2. mgayatz

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Katika masuala ya kodi wanasema kuna there is no quid pro quo wanamaanisha mwananchi kulipa kodi haimaanishi ana haki ya kuamua juu ya matumizi ya hiyo kodi husika. Hivo ni miongoni mwa vigezo vya mifumo ya kodi katika sera. Mifumo mingi ya kiutawala ya nchi zinazoendelea inalenga kutekeleza...
  3. mgayatz

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Katika mchanganuo wa matumizi ya serikali ya tz hizo ni statutory expenditure ambazo hata bunge halina nafasi kuzijadili kwahiyo unakuta kwamba kupata figure sahihi inategemea wewe ni nani pia kwa mwananchi wa kawaida sio rahisi kujua.
Back
Top Bottom