Recent content by MGANI1

  1. MGANI1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaume wa Kiislamu huwa hawamalizi 'aya' ruksa ya kuoa wake wanne

    Vizuri, neno uadilifu kwa istilahi ( Theme) ya Quran Tukufu lina mantiki pana katika nyanja hizi Uadilifu kwa maana ya Uchumi madhubuti (kipato ambacho kitakidhi mahitaji ya wake hao. Uadilifu kwa maana ya uwezo binafsi wa kulimudu tendo la ndoa kwa mizania sawa sawa. Uadilifu kwa maana ya...
  2. MGANI1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaume wa Kiislamu huwa hawamalizi 'aya' ruksa ya kuoa wake wanne

    USHAHIDI WA AYA NA UFAFANUZI WAKE. nawasilisha
  3. MGANI1

    JamiiForums Tanzania Narudia tena, Mafundi gereji msipojiongeza mtaishia kutengeneza gari za mwaka 90

    MAFUNDI GARI BUANA, WANAKAGUA UMEME WA GARI KWA KUPIGA NYUNDO.
  4. MGANI1

    JamiiForums Tanzania Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

    Alikuwa kibaka kama vibaka wengine
  5. MGANI1

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Buhongwa, Mwanza hakina udalali

    Kipo buhongwa maeneo gani ?
  6. MGANI1

    JamiiForums Tanzania Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

    Iwe kazi halali au haramu ifanye kwa bidii. Bidii (maana yake kwa kujituma na kuifanya kwa njia mbadala za giza au za mwanga, kuwadhulumu wafanyakazi mishahara, kutapeli, kuvusha magendo nk) hivyo ndivyo shabiby anavyosomeka
  7. MGANI1

    JamiiForums Tanzania Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

    HAMJANUELEWA SHABIBY HAJAZUNGUMZIA KUFANYA KAZI HALALI, YEYE ASEMA KUFANYA KAZI KWA BIDII, KAMA KUIBA MENO YA TEMBO IBA KWA BIDII , MADAWA YA KULEVYA ......NK KILA KITU UKIFANYACHO WEKA BIDII.
  8. MGANI1

    JamiiForums Tanzania Naishi nikisubiri kifo, nimechoka sana

    Nakushauri uachane na maisha, fanya mambo yako mengine, hutopata taabu.
  9. MGANI1

    JamiiForums Tanzania Naishi nikisubiri kifo, nimechoka sana

    Narudi, usitoke
Back
Top Bottom