:wave:Haaa haaaa haaaa!!!! hii ni dalili nzuri kwa Chadema, na ni taa ya kijani kuelekea 2015! bw. Kambaya anazidi kuzamisha jahazi la CUF- chama cha wananchi kwa kutumia udini, at CUF-Chama cha Wananchi tunaona Lengo la Gazeti la Tanzania Daima na Muandishi wake ni kupandisha hasira za...
Kusema kweli Baba Clara si yeye kaandika na kama ndie basi si mtanzania! na kama ni mbongo basi akili yake haina akili wala uwezo wa kufikiri, ingekuwa vema akaomba ushauri wa kuandika toka kwa clara ambaye naamini atapenda future nzuri ya nchi yake na ambayo Cdm ina straggle kuweka sawa Jahazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.