Katika maisha na pilikapilika za hapa na pale unaweza kufanya jambo flani la kushangaza baya au zuri watu wakawa wanakuteta je wewe ni uliwahi kukuta watu wanaokuzungumzia yani kukuteta kukusengenya? Je ulichukua uamuzi gani baada ya kuwakuta?
Nawasilisha.........»
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.