Haaaa haaa. Yaaaanii hawa chadema tunawashangaaa kwelikweliii. Nyinyi kiongozi wao walishakaa kikao na kuwafukuza wamama wa watu, sasa cha ajabu wanachadema kuchakutwa wanafuatilia saaanaaa?? Au bado wanwataka??
Hakuna chama chochote chenye kilichosajiriwa kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya Tanzania chenye mamulàka ya kumtimua mwanachama yoyote kizembe, kwa sababu ni haki ya kikatiba RAIA kuwa mwanachama wa chama akipendacho. Na hata cheria na kanuni za kumlinda mwanachama yoyote ndani ya chama chake zipoo.
Ulivyomweipe kichanii hadi unatia kinyaa. Kwhyo chadema inafanya maamuzi kwa kutumia nukuu za akina Sofia simba?? Kesi ya akina Sofia simbi nisawa na hao wabunge 19? Acheni wamama wawatu watafute haki yao inje ya katiba ya chama chenuu. Nihaki yaoo
Kwahyo maaamuzi yamefanyika kwa kufuata matakwa ya huyo mkuu wa mhimili na wala sikwa mjibu wa katiba na kanuni za chadema?? Ebu nitajie huyo mkuu wa mhimili anaweza amua mambo na kuisigina katiba na kanuni za chama
Acheni kuwakandamiza kwa kuwatishia wanasheria wenu kandamizi dhidi ya akinamama. Kwenda mahakamani ni haki yao. Acheni kuwatisha, etiwatulie mbeleni mtawasamehe kwa kosa lipi mpaka waombe msamahaa. Tunataka sheria ichunguze na itoe hakiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.