Recent content by mfyatuko

  1. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania CPA review classes

    Mambo vipi wadau! Natafuta CPA review class ambayo ipo wilaya ya kinondoni eneo lolote lisizidi ubungo, Tegeta na Moroko ili niweze kusoma kwakuwa itakuwa karibu na eneo nililopo kikazi. Msaada wenu na ushauri tafadhali. Ahsante!
  2. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kielimu

    Mkuu nakushauri tafuta uzoefu wa hiyo fani uliyonayo kama umemaliza hivi karibuni kabla ya kuendelea na masters kupitia uzoefu utajua nn unakihitaji ili ukibobee zaidi.
  3. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Msaada! dawa ya kukausha kidonda cha mwili

    Jaribu kitumia utonvu wa ALOVELA mkuu ni mzuri pia
  4. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kuto kumwamini mwanamke katika mahusiano ilipoanzia

    Phlagiey , kiongozi omba Mungu tuu utampata mwaminifu.
  5. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Hivi, huwa madawa ya kulevya na ndovu thamani yake inapatikanaje?

    Salute kaka nimeipenda hii...
  6. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Tigo na huduma hafifu

    Duuh! Pole hamia voda mkuu
  7. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Shabiki huyu amenikosha

    Duuuuuh spans au spain
  8. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Na Kipindi Chako Cha Amplifier Msitufanye Watanzania Wajinga!!

    Nilikuwa nakuelewesha mkuu... Usikasirike...
  9. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Na Kipindi Chako Cha Amplifier Msitufanye Watanzania Wajinga!!

    Haaahaa mkuu huo ndio ukweli kama huamini pigatena simu Huduma kwa Wateja sasa na uone watakwambiaje...
  10. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Na Kipindi Chako Cha Amplifier Msitufanye Watanzania Wajinga!!

    Pole, ila cha msingi ni kuwa Huduma kwa Wateja hawawezi kukuambia Vocha imetumika lini na kwenye namba ipi kama huna card number. Na millad alisoma pin number sio card no. Ukiwa na pin namba za vocha huwezi kupata taarifa yoyote kuhusu Vocha hiyo kiongozi
  11. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Na Kipindi Chako Cha Amplifier Msitufanye Watanzania Wajinga!!

    Umeona eeh... Akinijibu hapo atanishawishi nikubaliane na hoja yake
  12. mfyatuko

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Na Kipindi Chako Cha Amplifier Msitufanye Watanzania Wajinga!!

    Kiongoz ulivyo wapigia voda uliwa namba zipi kwan lazima wakuulize kadi namba zinazo anza na 00.. Ambazo ni tofauti na zile ulizoandika na mwenye Vocha ndiye anayekuwa nazo. Sasa ndugu yangu hapo umekurupuka kaka
Back
Top Bottom