Recent content by Mfwalamanyambi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maandalizi

    Kufanya hivyo ni kupunguza bacterial load mwilini na hapo utapata nyama nzuri isiyoharibika mapema. Na hii ainatakiwa kufanyika kwa wanyama wote wanaotakiwa kuchinjwa. Ukienda machinjio za ng'ombe, mbuzi kuna sehemu inaitwa Lairage ambapo wanyama wanahifadhiwa hapo kwa masaa kadhaa (yasiyopungua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

    Utawatosa wewe, lakini SISI tutawapa hivyohivyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM huko Usangi (Mwanga) ameamua kujiuzulu

    Na David Mathayo, Rose Migiro nk
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Mkoa, Wilaya na Tarafa mpya za Tanzania

    mtoa mada hapo kwenye manispaa ni halmashauri za miji, huwezi kutoka hatua ya mamlaka ya mji mdogo kwenda hatua ya halmashauri ya manispaa, lazima upitie hatua ya halamshauri ya mji kwanza.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bituro Kazeri, Huyu si mchambuzi bali ni kada wa CCM

    Sijajua kwa nini Star TV wanamtumia sana huyu jamaa. Mara kadhaa nimemuona akifanya uchambuzi Star Tv lakini hamna kitu cha maana anachoongea. Labda kupitia jukwaa hili Star Tv watatuelewa wadau wa vipindi vyao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Kuna mgombea nimemtakia 'kila la heri' kwenye SMS

    nimekuwa najiuliza ikiwa ataukosa urais je atawatuma tena walioenda kuandika wakafute maana madaraja mengi sana yameandikwa kuwa ye ndo rais mtarajiwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha za baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya

    lipo mkuu wilaya ya mufindi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari kuvaa sare za vyama kama huyu Gerson?

    kwa mujibu wa sheria za nchi yetu mtumishi wa umma anayo haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, lakini haruhusiwi kugombea uongozi ndani ya chama na endapo ataamua kufanya hivyo basi atalazimika kuacha kazi kwenye utumishi wa umma. Kwa hiyo msigwa kama ni mwanachama tu wa CCM...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akutana na Rais Kikwete

    Kilaini siyo msaidizi wa Pengo, wote hao ni wateule wa Papa, na Pengo alishasema hawezi kuliongelea hilo kwani mwenye mamlaka juu ya Kilaini ni Papa mwenyewe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania TBC mna siri gani na Muhongo?

    Kinachomsumbua huyo Prof ni hiyo rank ya shule kwani anaona fedheha kuonekana Prof ameshindwa, na hii ni hulka ya wasomi wengi kutokubali kwamba wamefanya makosa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wilayani Mwanga: Mhe, Diwani wa CCM na Mpambe wake wabondwa wakitoa rushwa..!!

    lakini ni juzi tu hapa JF tuliambiwa wagombea wote 100 wa CDM wameenguliwa na kwamba CCM imepita bila kupingwa, je hii in maana mtoa uzi hakuangalia vyama vingine vinavyounda UKAWA hali inayosumbua watoa rushwa hadi wanapata kipigo?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka wakwanza chuo mchumba simuelewi anataka IPHONE

    mafuta ya brek ya nini? sabuni tu inatosha na barua inasafiri.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Michapio hatari

    ...... taarifa zilozotufikia hivi punde zinasema kwamba, ajali hiyo imetokea katika barabara ya Morogoro road........
  14. M

    JamiiForums Tanzania Michapio hatari

    Nduku sangu! lewo ni kufuraayi mbaka kukuche hapa. Nyansebo asa kuimbisa manyimbo kwa ngufu, na sisi tutapika makofi.
Back
Top Bottom