wewe ndo umekosea na wala kujitoa kwako sdm si jambo lolote, kwani unamsujudia huyo mwl ili iweje? amani iliyoko safrica, botswana angola ghana na sehemu zingine kapeleka mwl watu wenye akili finyu km ya kwako ndo wanadhani kuwa wana amani je wafngwa na mahabusu wako kimya wana amani kiasi gani...
Kama nchi ikianza umafia juu ya watu wake hiki ni kiama.
Njia ya maridhiano ikishindikana inabidi kutumia umafia kaeni chonjo watu wote mnaotetea maovu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.