Recent content by MfupiMweupe

  1. M

    Msaada: Rangi za sherehe (Send-off)

    Rangi nzuri ni ile inayokupendeza...color of the year inawezekana haipendezi kwa kila mtu
  2. M

    Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    hivi kuna binadamu yeyote,hata katika maisha ya kila siku anayempa rafiki/ndugu/ mtoto hata mke hela bila kuuliza inahitajika ya nini na itatumikaje? Je, hayo ni masharti au uwajibikaji? Na kuwa a beneficiary country wa MCC haulazimishwi, lazima wewe u-express interest
  3. M

    Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Hiyo issue haina ukweli wowote
Back
Top Bottom