Recent content by mfumuko

  1. mfumuko

    Kashfa ya Ngono Vyuoni: Kama una kisa chochote tupia hapa

    Changamoto iliyopo kwa marekchara kuwakula hawa mabinti ni mgongano Wa kimaslahi peke yake. Ila amelaaniwa rekchara anaemnyima mtoto haki yake kwa sababu ya papuchi..... , ila hawa watoto wanakulwa na kila MTU, boda boda, wauza tikiti, wauza chipsi, wajeda ndio wanawameza kabisa tena ukute ndio...
  2. mfumuko

    Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

    Asante sana feity na wadau wengine mliochangia na mtakaoendelea kuchangia. Naamini kweli inaweza ikawa sijawaza vyema sana na ndio maana tunashirikishana wadau kupata mawazo pevu na mbadala, najua huku wako wadau wengi wenye ujuzi, ufahamu, uelewa na moyo wa kusaidia na kushauri. asanteni.
  3. mfumuko

    Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

    Habari wakuu: Naomba ushauri kwa watu wazoefu au wenye uelewa kuusubiashara ya duka la rejareja la vyakula na vitu vya nyumbani kawaida. Kwa mtaji wa mil 2. Ningependa kusaidiwa katika mambo yafuatayo; 1. Ni vitu gani vya kuzingatia sana wakati wa kutafuta mahali (location) 2. Tofauti na...
  4. mfumuko

    Ukitaka kupunguza umri wa kuishi jaribu kufanya hili

    labda pengine waanga wenyewe, yaani watoto wa nje ya ndoa, na wazazi wenye watoto wa nje waseme wanakutana na changamoto gani na kama analolisema lina ukweli
  5. mfumuko

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Menda halmaashauri kitengo cha mipango miji ukianana na hao wa ardhi utampata mtu ataenda na GPS atachukua coordinates ya eneo husika. Then atakuja kuziingiza kwenye sytseam atakupampaka ramani ya eneo na itaonyesha eneo kama ni la makazi au la wazi au la ibada.. Kama akikuta eneo lenyewe lina...
  6. mfumuko

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Badili mimi ela inaniruusu popote ila kwa maswala mengine ndio nlitaka ushauri
  7. mfumuko

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Nafanya kazi Kigamboni Feri, kwetu Arusha, nataka kununua kiwanja kimojawapo kati ya sehemu hizi kwaajili ya kuishi, uwezo wa kununua popote upo, naomba ushauri wenu wakubwa: 1. Bunju A 1 sqm 20,000 mradi wa UTT PID km 35 kutokea posta mpya 2. Kibaha boko timiza KM 37 kutoka posta mpya 2...
  8. mfumuko

    Naomba ushauri juu ya kuchukua mkopo

    asanteni sana wakuu kwa ushauri wenu...ntafuatilia CRDB.......Mungu akijalia...kama kuna wazo jingine ntafrai..maana take home yangu ni 1.2...na nataka mkopo kwa miaka mitatu tu
  9. mfumuko

    Naomba ushauri juu ya kuchukua mkopo

    Wadau, Mimi ni mtumishi wa umma. Nahitaji kuchukua mkopo usiopungua milioni 12 kwaajili ya kununua viwanja vilivyo kwenye miradi. Naomba ushauri wenu juu ya benki gani ninayoweza kupata mkopo kirahisi na kwa riba nafuu ikiwa nipo Dar es Salaam.
  10. mfumuko

    Nanyimwa penzi na mke wangu

    Nimeoa
Back
Top Bottom