Recent content by Mfukunyuzi

  1. M

    Naomba mwenye ufahamu kuhusu degree of nursing

    Hahahaha hao wanaosoma nursing wa kiume hawapendi kweli sema tu hawana namna nyingne, ila ni aibu kweli eti unakuta mdada anaulizwa, mumeo anafanya kazi gani? He is a nurse hahahahahah, nurse kazi zao kutandika vitanda 2 haijalishi ana degree au diploma
  2. M

    "This week in perspective" kutoka TBC: Job Ndugai hoi kwa kiingereza kibovu cha kutia aibu.

    dah kweli ndugai ana ng'eng'e mbovu wenzake walikua wakiongea yeye anabaki ameduwaa, alinichekesha zaidi alipo2mia neno the lookers akimaanisha watazamaji badala ya the viewers. Dah kweli inasikitisha
  3. M

    "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    nape wewe n kati ya mbumbumbu wachache mliobakia katika nchi hii, huna lolote zaid ya kup4a kelele
  4. M

    Ndugai , wassira , lukuvi na chikawe wanatakiwa kuiga uzalendo wa jk kama wanataka kua viongozi bora

    safari hii amejitahdi xana chezea jk wewe, ila jk anadhamira ya dhati sema wanaomzunguka xaxa
  5. M

    Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    hakika mzee malecela na hasara ya kuna na mtoto kama wewe mwenye mawazo mgando, yani wewe na akili zako unashabikia uhuni uliofanywa na wabunge wa ccm mpaka rais mwenyewe ameliona wewe bado upo gizani. Bora ukae kimya maana unamuaibisha baba yako, alafu m2 kama wewe ndo 2tasikia umepitishwa...
  6. M

    CCM yahairisha mkutano wake wa Jangwani

    hahahah chezea jakaya wewe amewaruka kima cha mbuzi haya xaxa mzee wa gombe cjui yuko wap xaxa
  7. M

    UVCCM kumpinga Rais Jakaya Kikwete kwa kutoridhia kusign mswada wa sheria ya Mabadiliko ya katiba

    hahahah wamuulize nape aliponyoosha miguu wakat blanketi ni fupi alichoambulia ni kung'atwa na mbu kwenye visigno vijana hawa wanacheza na moto eeh
  8. M

    Ndugai , wassira , lukuvi na chikawe wanatakiwa kuiga uzalendo wa jk kama wanataka kua viongozi bora

    hahahah ndugai maskini hapo ndipo atajidharau ameudhihirishia umma wa watanzania ni kwa jinsi gani ameshndwa kuongoza muhamala wa bunge kutokana na infriority complex yake, anatakiwa kujitathmini kama anapashwa kuendelea kukalia kiti cha uspika, jana katka kipindi cha this week in perspectives...
  9. M

    Ndugai , wassira , lukuvi na chikawe wanatakiwa kuiga uzalendo wa jk kama wanataka kua viongozi bora

    acha uongo rais hajasain muswada ndio maana amesema unarudishwa bungeni, jk kaonyesha uzalendo
  10. M

    Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    yani wewe unataka kupingana hata na rais wa nch? Yeye ameona kuna tatizo lakn wewe bado haujaliona tatizo? Leo ndo nimegundua kwa nin ulishndwa katka uchaguzi wa EALA kumbe tatizo n upeo mdogo wa kifikra pole aisee
  11. M

    Ndugai , wassira , lukuvi na chikawe wanatakiwa kuiga uzalendo wa jk kama wanataka kua viongozi bora

    wanajamii binafsi nimefurahishwa na uamuzi uliofanywa na mh rais kikwete juu ya hli suala la katiba, japo mh rais ame2mia muda mwingi kumsema lissu lakn amejali maslahi ya nchi kuliko chama chake, Jk ameonyesha dhamira yake njema ktka upatikanaji wa katiba mpya, nawasih viongoz wa upinzani wakae...
  12. M

    Wabunge wa CCM na huo wingi wao.

    hahahah jk amewasuta ndugai na wenzake
  13. M

    CCM Yamshambulia vikali Joseph Warioba

    yani huyu bulembo hata jinsi anavyoongea inaonyesha ana ufinyu wa fikra, jaji warioba naye ni mtanzania ana kila sababu ya kutoa maoni yake nje ya kofia yake ya mk wa tume ya katiba mpya. Haya na wewe bulembo unaemkataza warioba hasiwasemee wananch kwan wewe ni nan katka nch hii, afadhal na...
  14. M

    Mwigulu ashindwa kujibu maswali ya wana diaspora

    who iz mwigulu n ths country? Achen kumpandisha chart bure kwa kumjadili mpuuzeni 2 maana ni mchumia tumbo hana lolote
  15. M

    EZEKIEL MAIGE: Mbunge wa Msalala CCM, NAIBU Spika,Hakuwa sahihi kutomsikiliza Mbowe!

    Xafi xana maige una akili sio kama yule nduuugai anayekurupuka
Back
Top Bottom