Hayo ni mawazo yako mr. mimi kwa upande wangu nipo kinyume na wewe. mafundi wapo tena ni nguli hadi kwenye kufanya swap hadi izo mother body micro chip (CPU,ROM)kwanzia ios mpaka android
embu kila mtu afanye kuangalia viambatanisho vyake kama vp sahihi..kwasababu mimi leo nimeingia tena nacheki cheti cha form 4 hakuna kitu naletewa pdf ya form iliyosainiwa. akati mwanzoni before deadline kilikua kipo tu.
Au ndo system imepata mawenge
Hata mimi na shida inayoendana na wewe .
NIDA natambulika 'MACMILLIAN"
Academic certificates zote ni 'MACMILIAN"
Nilipo ona hivyo nilijisajili mara ya pili kama MACMILIAN ili kuendana na vyeti vya shule, na nilifanikiwa process zote hadi picha . but siku ya kwenda kuchukua No ya NIDA...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.