Recent content by Mfugaji123

  1. Mfugaji123

    KERO TANESCO wanakata umeme karibu Mara 30 kwa siku huku Yombo Vituka

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam. Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani ya saa 1 unaweza kukatika hata mara 5. Hali hii imesababisha kukwama kwa shughuli nyingi za kiuchumi...
  2. Mfugaji123

    Mradi wa Kilimo cha Pamba

    Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazozalisha pamba kwa wingi. Kulinga na na taarifa ya Bodi ya pamba, Tanzania huzalisha wastani wa tani 220,000 za pambambegu kwa mwaka. Na huwakilisha asilimia 10 ya mapato ya nchi yaani GDP. Taarifa za sasa zinaonesha pamba ni chanzo cha kipato kwa kaya...
  3. Mfugaji123

    Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
  4. Mfugaji123

    Mradi Ufugaji wa Kuku wa Mayai

    Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost) na hivyo kuweza kufaidika na soko kwa kuuza kwa bei shindani na pia kufaidika na economic of scales...
Back
Top Bottom