Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani.
Binafsi breakup nilishashindwa kuizoea, huwa inaleta maumivu haijalishi ni breakup ya ngapi.
Nisiwachoshe sana acha niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.
Mimi nina mke na watoto wawili na mke wangu lakini pia kuna mzazi mwenzangu ambaye...
Wabongo bhana! Sasa unabisha nini? Wewe ndio unayepanga majina? Basi kama wewe ndio unayepanga majina umekosea, kuna mtu umemchagua kwa hizo kada zote mbili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.