Recent content by MFECANE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo au fundi wa kutengeneza mashine za photocopy, printer nk. Nahitaji kufundishwa ufundi huo

    Nakushukuru ndugu. Je, wanatoa mafunzo online?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo au fundi wa kutengeneza mashine za photocopy, printer nk. Nahitaji kufundishwa ufundi huo

    JFK wabongo. Naweza pata mawasiliano yao hao jamaa. Sorry for that.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo au fundi wa kutengeneza mashine za photocopy, printer nk. Nahitaji kufundishwa ufundi huo

    Wadau nashukulu kwa maoni na maelezo yenu. Mm ni fundi wa computer, nahitaji namna ya kurepair mashine hizo pale zinapoharibika. Pia kama naweza pata mawasiliano yao ya MUST na DIT. Maana kwa sasa mm nipo Songea. Nitashukulu kwa msaada.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo au fundi wa kutengeneza mashine za photocopy, printer nk. Nahitaji kufundishwa ufundi huo

    Wadau najua humu kuna wanaojua mambo mbalimbali. Natafuta mtu au chuo zitakazonifundisha kutengeneza photocopy mashine, printer, scanner na nk. Kama mpo tafadhari mnicheki. Please.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada t-shirt printing supplies

    Nenda mtaa wa msimbazi opposite na sheli ya bigborn utapata hapo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutorudia tendo la ndoa

    Msaada. Hivi kuna dawa ya kumfanya mtu arudie tendo la ndoa mara nyingi zaid? Kama kuna dawa wapi inapatikana? Maana ndoa inataka kuvunjika huku.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbu anasaidia kueneza HIV

    huo sio utafit uchwara kama wa TWAWEZA. kama mbu anaweza kufyoza damu yenye walaria na kwenda kumuambukiza mtu ambae hakuwa na malaria na akawa na vijidudu vya malaria. je itashindikanaje kwa HIV?
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbu anasaidia kueneza HIV

    we unaonaoje?.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbu anasaidia kueneza HIV

    kuhusu mashine za kunyolea ziko salama kwa sababu kabla ya kuanza kunyoa huwa wanaweka dawa(sprit) then aftershave
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbu anasaidia kueneza HIV

    nenda kapime ujue afya yako. maana ukikoswa kuambukiza na madem bas utakutana na mbu.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbu anasaidia kueneza HIV

    mbu huyuhuyu anayeeneza malaria (anofeles) na yuko sayar ya dunia.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbu anasaidia kueneza HIV

    utafiti nilioufanya na kushauriana na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kwamba mbu anasaidia kueneza HIV. mbu akimng'ata mwenye HIV halafu akaenda kumng'ata na kumtapikia mtu ambae hana HIV naye atakuwa ameambukizwa. EBO KAMA UNAWAZO TOFAUTI NA MM NIJUZE.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Good Friday: ACT Wazalendo kinakuhitaji wewe, ni chama chako, chama chetu

    mwanzo mlisema act ni chama kilichoundwa na pesa za lowasa ili akikatwa ccm aende huko. leo mmebadiika na kusema act=ccm. kwel nimekubal ukuwa sio wa kupewa nch kwasababu nyie ni vinyonga (chamilion)
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge akataliwa mbele ya Lowassa

    na bado. had tar 25 oct tutasikia mengi kuhusu ukawa. MAMA ANNA WA ACT JUUUUUUUU.
Back
Top Bottom