Recent content by MFAUME1979

  1. M

    Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Ndg. nakushauri wasiliana na wataalamu wa biashara ili kuweza liweka wazo lako kitaalamu zaidi !!!
  2. M

    Natafuta wateja wa green tourmaline

    Hizo Stones unauzaje? na zina quality gani kwa mujibu wa 4cs' (Cut, Clarity, Carat & Colour)?. Ni nijuze kupitia PM
  3. M

    Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

    Mohammed hawa njia wanaweza kuzaliana kwa species tofauti (Kupandana)? Na unawafuga huria ama kuna wakati unaawachia wanaruka nje? Je wakiruka nje hawatoroki? wapi naweza kupata hizo species ili na mimi niweze kufuga?
  4. M

    Naiuza Tractor Massay fergusson 2904wd from UK

    Ndg! Post maelezo ya kina (specifications), Tangu iwasili Tz imetumika kwa muda gani na utaratibu wa malipo (cash/installment ?) .
Back
Top Bottom