Wadau naomba msaada kwa anaefahamu zinapopatikana hizi software SPSS na ARC GIS za kununua nahitaji kujua bei na zinapatikana wapi kwa Hapa Jijini Dar es Salaam.
ni kazi ngumu sana kumfundisha mtu ambae hataki kufundishwa, ila pia mkuu katika ufundishaji wako ni rahisi sana kumfundisha mtu ambae ana idea ya mambo hayo mfano info tech lakini kwa layman ni ngumu sana.
Wadau Habari zenu, naomba msaada kwa anaefahamu kutatua tatizo langu, nina External HDD naifungua haifunguki namimi staki kui format kwakuwa kuna data za muhimu nazihitaji ntafanyaje ili ifunguke nizitoe hizo data?
Hata mimi nahitaji fundi kama huyo ila nnachokiona ni kwamba uende k.koo Pale Aggrey wapo mafundi kibao ongea nae mmoja uwe unakuwa nae pindi anapotengeneza simu then uwe unaona unapata utaalamu halafu utakuwa unamtoa kibingwa.
Sasa kama Mawaziri wameanza kupeleka watu wao sisi Watanganyika ambao hatuna mawaziri wa kutupeleka tutapata kweli? Mh Hii nchi sasa imeshindikana du!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.