Recent content by Mfanyakazi Bora

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Mpambanaji Anahitaji Muongozo Wako

    Idea nzuri na bahati nzuri mimi pia nina mtaji wangu, nimekucheck PM ili unielezee vizuri plan nzima ikoje
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Mpambanaji Anahitaji Muongozo Wako

    1.2m haitoshi kununua boda
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Mpambanaji Anahitaji Muongozo Wako

    Asante kwa kunikumbusha, nimeedit Mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Mpambanaji Anahitaji Muongozo Wako

    Dear Hustler, mi ni mpambanaji mwenzenu mwenye bidii, uthubu na moyo wa kujituma kwa sasa niko Mwanza. Nimeangaika sana kutafuta kazi sehemu tofauti tofauti bila mafanikio, naomba kama kuna mtu yoyote mwenye connection ya kazi anisaidie Mbali na kutafuta kazi lakini pia nina mtaji wa 1.2m...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yajue Maisha yalivyo jela

    Subscribed
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mwaminifu, mbunifu, na mwenye bidii anatafuta nafasi ya kazi

    Habari za majukumu wakuu? Natumaini mko salama. Ningeomba msaada wenu wa hali na mali katika kunisaidia kupata nafasi yoyote ya kazi. Nina imani kuwa kwa msaada wako, nitapata nafasi itakayoniwezesha kutumia uwezo wangu na kuchangia kwa mafanikio ya mtu binafsi, shirika au kampuni yoyote. Mimi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nipo Tayari Kuitumikia Jamii

    Habari za majukumu wakuu Mimi bado nina hustle sijapata kazi, kama kuna mtu yoyote anaweza kunishika mkono mlango uko wazi Kwa sasa hivi nipo Mwanza
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nipo Tayari Kuitumikia Jamii

    Amina na ikawe hivyo kwa msaada wa Mungu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nipo Tayari Kuitumikia Jamii

    Mimi ni Mr
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nipo Tayari Kuitumikia Jamii

    Kama kijana ambaye bado najitafuta ili kujiboresha na kufikia malengo yangu, naomba kutumia jukwaa hili kutafuta mtu ambaye anaweza kunishika mkono au kuwa daraja kwangu la kunivusha kutoka hapa nilipo na kunipeleka kwenye hatua inayofuata ya maisha yenye nafasi na mafanikio zaidi. Ninatafuta...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tunainuka kwa kuinua wengine

    .
Back
Top Bottom