Recent content by Mfagio

  1. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote hapa aliyewahi kufanya practial interview ya nafasi ya ICT OFFICER - SOFTWARE DEVELOPER Utumishi

    Katika izo framework ujue kuandika CRUD na kuimplement Authorizations and authentication
  2. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote hapa aliyewahi kufanya practial interview ya nafasi ya ICT OFFICER - SOFTWARE DEVELOPER Utumishi

    Hakisha unajua React au vue kwa upande wa client na upande wa backed uwe unajua laravel , django na zingine za java au JavaScript bila kusahau API
  3. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Heche: Nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano, ninajua utaratibu wa uagizaji mafuta

    Heche unajua kupanga hoja hawa wengine ni vigugumizi na kutaka kutuchanganya
  4. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Je, mifumo na taasisi zinazotakiwa kumsaidia Rais katika kusimamia nchi zinafanya kazi ipasavyo?

    Kuna shida pia katika mahakama zetu katika kutoa haki ndo maana watu wanafanya wanavyotaka wakijua wekienda mahakaman watashida kwa pesa. Kingine kitendo cha chama kimoja kuongoza nchi ndo matokeo yake.
  5. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kupanga, wa kubumba. Soma hii chini

    Wengi wemesahau maelezo yao waliyo andika police , wengi wanaishi maeneo ambayo ni ngome za chadema.
  6. Mfagio

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Daraja la Jangwani fedha ipo tayari, sasa tunataka kuaza kujenga litakuwa na urefu wa mita 390

    Tuwe tuna soma na project finance nimeona neno world bank
  7. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashangaa kuwa kuna kikao kimekaa na kupanga hukumu yake kuwa 12/11. Awataka majaji waeleze limetoka wapi hilo na kwa sheria gani..

    Leo wakati nipo barabaran nimeona gari zilizo mbebe true lion of africa Tundu lisu moyo wangu ulijaa na furaha kumwona mpiganaji asiyechoka.
  8. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Aliyemuelewa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu mwendokasi anieleweshe

    Yule tusha mpuuza kitambo sana kama mbagara mpaka leo hamna gari lolote linalo fanya kazi unahis kuna mabadiliko yoyote uko kimara
  9. Mfagio

    JamiiForums Tanzania CCM wajue huwezi kamwe kuuficha UKWELI

    NNi Ni browser zina Fanya IpSec tafuta playstote inaitwa Tor browser
  10. Mfagio

    JamiiForums Tanzania CCM wajue huwezi kamwe kuuficha UKWELI

    Tuwambie watu watumie Tor browser in nzuri sana kwa kipindi hiki
  11. Mfagio

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sio shida wala aibu kwa chama kuwasafirisha wanachama wake

    Sio mda atatolea ufafanuzi na ulipaji wa posho kwa waliofika kwenye mkutano
  12. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha ujasiri na umakini wa Tundu Lissu mahakamani kinashuka kadiri anavyoitwa mbele ya mahakama kujibu yanayomkabili

    Tareh 13/08/2025 lissu kawapiga spana kweli kweli mpaka mkakimbiliakuhailisha kesho ili mkapokee maagizo ya mama, juzi kaongea hoja simple ambazo hata mtoto wa chekechea anakubaliana naye.lisuu ile mahakama anaifanya anachotaka na nyie mlivyo wajinga sasa mnafuata kasha onyesha mahakama za bongo...
  13. Mfagio

    JamiiForums Tanzania Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) uchuro wa taifa

    Tunako kwenda kama taifa kuna giza kubwa sana kama tutaendelea kuwaita wapenda haki kama wafunjifu wa amani ya nchi, msingi wa amani wa nchi yoyote upo kwenye kutenda haki.
Back
Top Bottom