Recent content by mevikki

  1. mevikki

    Hivi nini hatma ya mtumishi wa Serikali ambaye amekopa benki Tsh. mil. 15 na akaamua kutoweka kazini?

    Mikopo ina bima kama katoroka ishu ni yeye na mwajiri wake nina ushahidi wengi wamekopa wakaishilia kufanya yao mbona sioni wakitafutwa au benki zinafanya mikakati ya kuwanasa.
  2. mevikki

    Reported content: Post in thread 'Damu inatoka UKENI na sio Hedhi'

    Write your reply...nashukuru mkuu nitafanyia kazi ushauri bila shaka atakaa sawa
  3. mevikki

    Thread titlejamanii Naomba kuuliza nini kinasababisha mtoto kutosimama

    Message…habari Nina tatizo la mtoto kachelewa kusimama ana mwaka na miezi hata ukimsimamisha hasimami kabisa sijui tatizo litakua nini nimeenda hospitality wakaniambi calcium iko chini ana dawa anatumia nimempeleka kwenye vipimo Nairobi wanasema hana shida daktari kaniambi nimpeleke kwenye...
Back
Top Bottom