Recent content by metasacker

  1. metasacker

    Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi 2023

    Trust the process yan hapo mambo yatakawa safi sana
  2. metasacker

    Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

    Is not true kwamba mapato ya ndani ndio yalifanya tuendelee wakati kupitia mapato ya ndani hata 50%hatujafika pia kama alikuwa anatumia mapato ya ndani why deni liliongezeka katika utawala wake?
  3. metasacker

    Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

    Kwa mapato gan mzee tupe takwimu.... Why deni la taifa limeongezeka?
  4. metasacker

    Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    Mkurugenzi wa TPA hawezi akawa against na mkuu wa nchi bcz ameteuliwa na mkuu wa nchi
  5. metasacker

    Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    YouTube ni watu wa magu tu hao wameongea pia kwann umuhukumu jk kwa kusikiliza upande mmoja tu mbona hujaskiliza upande wa jk according to natural justice kwhy usiseme eti mradi ni mbaya kwa kusikiliza upande mmoja pia hatujui mahitaj ya mkataba yapo vp
  6. metasacker

    Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    Iv youtube ni reference ya kisomi mkuu tunataka document zinazoprove ubaya wa mkataba
  7. metasacker

    Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    Kubwa zaidi kuhusu ukweli wa mkataba hakuna anayejua pia ata magu mm binafsi siwezi kuthibitisha maelezo yake hadi niuone mkataba unavyosema na mahitaji ya mkataba ndio nitajua ukweli wa mkataba
  8. metasacker

    Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    Uliuona wap huo mkataba mkuu usiongee kiushabiki
  9. metasacker

    Huyu Ndiye Mohamed O. Mchengerwa

    Au linahitaj tochi?
Back
Top Bottom