Recent content by Meshack Reuben Jackson

  1. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Tanzania Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Kasome sheria
  2. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Tanzania Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Kasome sheria Kasome sheria
  3. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Tanzania Kesi yenye utata: Binti adai kuzaa na baba yake watoto 3 lakini akana mahakamani

    Unadhani inawezekana kuzaa watoto watatu ndani ya miaka minne ya mahusiano?
  4. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa leo kwa kaka zangu

    Ni kweli, ila pia wanaume wengi ni changamoto kwenye swala la mahusiano, usaliti ni laana kubwa sana, husababisha baadhi ya wanawake Kulipa kisasi
  5. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

    Tatizo la huu mkataba ni nini? Kilichofanyika hapa ni ubinafshija ambao sera yake tulishaikubali tangu zamani, hakuna jambo jipya hapa ila siasa za kipinzani ndo zinaleta kelele zote.
  6. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

    Ni mtihani mgumu sana kuhudumia bao la mwanaume mwenzako, Wanawake watatumaliza
  7. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa kutoka bara wana misimamo mikali kupitiliza.

    Wewe ukimfumania mkeo unasamehe? Kama huo ndo utaratibu wenu watu wa pwani, sisi huku bara tunavunja shingo, hatutak mazoea ya kitoto
  8. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe ana mtoto nimemuacha na nimemfukuza

    Kwa kijana kuona mwanamke mwenye mtoto ni udhaifu wa kiwango cha lami, kuna mabinti wengi sana mtaani, hawajazaa na wanataka kuolewa, achana nae huyo tena bila kuwa na hata na chembe ya huruma
  9. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

    Namba itawashawishi zaidi
  10. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

    Weka namba ya simu wadau wachangamkie fursa
  11. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Tanzania CCM mtatumia turufu miradi ya Hayati Magufuli mpaka 2030!

    Nahisi hujui kabisa mambo yanayofanywa na serikali hii, mfano mzuri ni ujenzi wa madarasa shule za msingi na secondary
  12. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulifanyaje ulipoachika?

    Mimi nimekua na mahusiano na single mother mmoja kuanzia mwezi October mwaka jana, mwezi tarehe 25 December akanambia ana mimba yangu, January mwanzon akanambia tuachane, nikamuuliza kuhusu mimba akasema sio yangu. Kwa kifupi wanawake sio kabisa.
  13. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Tanzania CCM mtatumia turufu miradi ya Hayati Magufuli mpaka 2030!

    Nadhani hio miradi iliyoanzishwa na JPM ilikua ni utekelezaji wa ilani ya CCM, hivyo kama CCM itaitumia kama turufu, sio dhambi
  14. Meshack Reuben Jackson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usikimbilie kuichomoa baada ya kukojoa iache iheme ndani kwa ndani

    Kazi ipo
Back
Top Bottom