Recent content by Mes92

  1. Mes92

    JamiiForums Tanzania Waliokuwepo kwenye oral ya Mzinga corporation 29/12/2021 Morogoro vipi majibu bado jamani?

    Watu waliitwa kazini na nilikosa😢
  2. Mes92

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira, mnayajua haya?

    Kuna NTA 4 na NTA 5 hiyo ishu ilishamtokea ndugu yangu ..tangazo liliandika tu wanataka certificate hawakuspecify yeye akaenda na Leve4 akaambiwa chet hakiendan n tangazo wanatakqma level 5
  3. Mes92

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    Hapo hakuna urafiki nyie mnapendana
  4. Mes92

    JamiiForums Tanzania Usisiome kozi hizi..!

    Nimepata kazi bila connection wala ujanja ujanja ..hizo kozi zote zina ajira ishu ni kupambana
  5. Mes92

    JamiiForums Tanzania Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Hzo ratio mnazozizungumzia wala hawajali km nafasi n moja n umekuja peke ako utapewa nafasi n mambo mengne yanaendelea
  6. Mes92

    JamiiForums Tanzania Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

    Mm imeandika selected n hyo kazi nilishaikosa
  7. Mes92

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Hizo ni kanuni za psrs 2021
  8. Mes92

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Nimeshawahi kuhudhuria interview wakikuuliza swali ukienda OP wanakwambia usikilize tna swali yani kwa kifupi hawataki uendelee kujibu utumbo ukishindwa kabisa wanaskip
  9. Mes92

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Namuomba admin a-pin up huu uzi makini sana
  10. Mes92

    JamiiForums Tanzania Maswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili (Interviews) na Namna ya Kuyajibu

    Yaan unarudishwa darasani bro km hukupga msuli ipasavyo usiende utapoteza nauli
  11. Mes92

    JamiiForums Tanzania Maswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili (Interviews) na Namna ya Kuyajibu

    Km unafanya interview utumishi achana na huu mkeka.. Utanikumbuka
Back
Top Bottom