Recent content by meryblandy

  1. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Je, TAESA bado inafanya kazi?

    Msaada nimefungua account ya Taesa lakini kila niki update kwa namba iya nida nasema nida no already exist Kuna mtu imemtokea labda na akafanyaje?
  2. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Ajira portal ni kero sana

    Yes ila Subilia lolote linaweza kutokea niliwahi piga simu wakaniambia ukitaka ku edit information, edit before deadline kwa upande wangu sikuwa shortlisted
  3. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hali ya hewa imebadilika kabla ya matokeo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Upo sahihi
  5. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera saana kaka Mungu akutangulie kwenye majukumu yako mapya Endelea kutuombea na wengine naona kwa upande wa NAOT ridhiki imenipita kushoto
  6. meryblandy

    JamiiForums Tanzania 'Status' za Utumishi pasua kichwa

    Sorry hii inabidi I download apps??? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kweli kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante saana mkuu nimesoma huu ujumbe nimepata faraja saana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Hii kitu Isemwe na Irekebishwe (PSRS) Majina ya Oral Interview Kutolewa Usiku Saana

    Makuru Sent using Jamii Forums mobile app
  10. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Ajira portal

    Sawa
  11. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Ajira portal

    Boss ni taasisi ipi hiyo ambayo nafasi zake zipo pending.
  12. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Mliopata ajira kupitia PSRS, status za application zenu zilikuwaje kabla ya kupata kazi na sasa hivi zikoje?

    Boss naomba introduction ya oral inavokuwa Kuna kuwa na maswali mangapi
  13. meryblandy

    JamiiForums Tanzania Mkeka wakwenda oral NAOT na HESLB tayari

    Zipo za kada zoote boss
Back
Top Bottom