Pia nkuulze umekosa watu uko kwenu wa kujadiliananao mpaka uje jamiiforums, labda nkuelishe, huu ni mtandao ambao unaoufanya watu wote Dunian kuwa Kama kijiji kmoja, umezaliwa kwenu imekulia kwenu lazma utafte new challenge ndomna ata wew sasaiv uko umu kufany discussion wakat mtaan kwenu Kuna...
Samahanini Nina tatzo moja naomba mnisaidie, Yaani Mimi katika harakati zangu za kutongoza, nikijibiwa "Nina mtu" au "nina mpenzi tayari" Sina ujanja na huwa sijui maneno gani Tena ya kusema na sijawahi kumpata mwanamke ambae ashawahi nijibu "Nina mtu"
Naomba mnipe ujuzi tafadhali cozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.