Unaweza nionyesha mahali ambapo wakatoliki na serikali wamekwaruzana, na hapo hapo unaingiza uislam kutaka kutengeneza taaruki kwenye jamii,
Wakatoliki walipoona hawaeleweki wakaomba mimbali zao zisitumike kisiasa, mwanasiasa akienda hapaswi kuzungumza kabisa habari za siasa kanisani huo ndo...
Mmm, kwa nini uwaite watu washenzi na wakati huo unamuunganisha na mhe Rais kuonyesha kwamba huko upande wake, ungeweza kuwadharau watu kama ulivyoonyesha bila kumuunganisha mh Rais.
Uhai ni zawadi ya Mungu kila mtu ana wajibu wa kuilinda kwa gharama yoyote hata kama unapishana nao kiitikadi husifurahi wenzako wanapokutwa na madhila mbalimbali,
Tuna wajibu wakuonyana bila kudhihakiana, ulipaswa kumjibu kistarabu tu na kwa unyenyekevu kwamba ni vema akaripoti Polisi.
Bado ungeweza kusema tu Mzee mbowe anang'ang'ania madaraka na ukaeleweka bila kumtukana mpuuzi kimsingi yeye hayupo hapa kwenye hoja hii hivyo kulinda heshima ya mtu na umri wake ni jambo la Busara ndo tabia yetu sisi watanzania ni kama ambavyo watu wanamkosea heshima Rais wa nchi ungeweza tu...
Kimsingi haya matukio ni ya kushughulikia maana kwa sasa unaweza pishana na mtu haidha kibiashara au kifamilia akakodi mabaunsa wakaja wamevalia tshart zenye muonekano wa kijeshi mtu akachukuliwa nakwenda kuuwawa, so tunaitaji kuona tulikosea wapi natuparekebishe kama serikali na nchi kwa ujumla
Ulipaswa tu umjibu kwa ufupi tu kwamba asome mada ndo aje ajibu, kimsingi miradi mingi inatekelezwa pia lingejengwa daraja la kisorya - ngoma lenye kama km 2 hivi lingeondoa usumbufu wa wakazi wa Ukerewe na lingesaidia sana ukuaji wa uchumi kwa watu wa maeneo hayo Na Tanzania kwa ujumla
Ni makosa makubwa kukiunganisha chama cha siasa na ukristo kwa hiyo unataka kutuambia CCm inaungwa mkono na waislam? Kitu ambacho si kweli hebu toeni sera zinazokubalika na wananchi na watu wakilizika na sera zenu mtachaguliwa tu, maana ndani ya chadema kuna wakristo na waislam na wasio na dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.