Recent content by MercyVibes

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama kutakuwa na dereva ambaye hanisikizi, familia yake itamsahau

    SOMO LA LEO: “Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.” — YAKOBO 1:5
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kitu cha kwanza anachofanya Msambaa baada ya kupata kazi ni kumroga bosi

    Wasambaa hao hao Shemeji na Wifi zangu wa kutoka Tanga; Au hao ni wa Afghanistan?:cool:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ina watu serikalini lakini inatoa boko

    Kwamba hao uliwataja hapo ni wachezaji wa Yanga, au?? :rolleyes:
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makonda azikataa jezi mpya za Taifa Stars. Adai ziko chini ya kiwango na kung'aka "Tuheshimiane"

    Hata mimi nilipata ukakasi kwenye hilo. Kuna haja ya kutolea matamko yahusuyo kazi kwenye account husika na si account binafsi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magazeti ucharwa Tanzania yagoma kuandika habari za Simba

    Hili wengi hawalifahamu. Lazima wafanye printing mapema ili wasafirishaji wayafikishe sehemu/mikoa husika mapema iwezekanavyo!
Back
Top Bottom