Recent content by Meragana

  1. Meragana

    JamiiForums Car faults

    Nina Rav4 yenye engine ya 3S-FE kila nikiwasha ninapokanyaga accereletor Inapoteza nguvu kwenye carburetor Sasa sijui kama ni sensor au kipi. Pia kama ni throtter au RPM Sensor zinaweza kuwa na uhusiano na tatizo Hilo nauliza wanajamvi mwenye jibu. Meragana Automobile technician
  2. Meragana

    JamiiForums Enrich Africa (T) Ltd vacancies

    MI nauliza humu ndani mbona sioni team za mafundi wa magari? Ndo fani nawatafuta ili tuwe na mijadala ya new adias
Back
Top Bottom