Recent content by menyaa

  1. M

    Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

    Hivi wewe mzima kweli?walivyokua wamejazana barabarani ajali zilikuwepo au hazikuwepo?tena kwa taarifa yako kujazana kwao barabarani na kutufanya mradi wao ndio ajali zilizidi maana walikua wakipoozwa na buku 2 wanaachia hata magari mabovu,jambo la msingi hapa ni tufate sheria na mwenye gari...
  2. M

    Machache Nayoyaona kutoka mji wa Moshi

    Inasemakana wakati mungu alivyomaliza kuumba aliwaambia wanawake simameni mkauke ila wanawake wakichagga waligoma ndio maana walipigwa pasi.
Back
Top Bottom