Recent content by menya inganyi

  1. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania inakuaje unamtoa Dem out anakuja na rafiki zake?

    sasa hii ni kukomoana au nini yaani unamwita Dem tuu siku ya kwanza anakuja na rafiki zake huku hajui mfokoni upo vipi wakifika wanaanza kujiagizia vitu vya gharama Henkel na savana huku mikuku yaani round tuu 50 ishaisha nyie viumbe nyie mungu mjue anawaona nyie.. mnatukomoa au inakuaje sasa...
  2. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

    kwa nini ukunyime ebu kua muwazi
  3. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Eti jamani nitakuwa nimepona UKIMWI?!

    kwel mkuu hakuna ugonjwa unaitwa ukimwi hata siku moja wewe ishi vizuri tuu acha kua na mawazo tuu
  4. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

    kwa nini unahisi yule jamaa alikufa fasta na kl 5 na yule Dem yupo mpaka leo?
  5. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Eti jamani nitakuwa nimepona UKIMWI?!

    mkuu wanakutisha hakuna ugonjwa unaitwa ukimwi wewe kula vizuri fanya mazoezi acha ngono zembe utaishi miaka mingi
  6. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke akikuhudumia atakusimanga sana?

    natafuta mkuu najaribu kuwaazia hawa viumbe tuu walivyo wabinafsi tuu cha kwao ni cha kwao unaeza kua na mke mkawa mnapokea mshahara ila wa kwake usione na akataka huo wa kwako tena aufanyie mambo pia..
  7. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke akikuhudumia atakusimanga sana?

    Mnawaza kuwa na mahusiano na mwanamke mwanaume kipindi upo njema ukawa unamsaidia sana mpenzi wako kwa kila kitu mahitaji yote. Inawezekana mwanaume ukayumba kidogo ukawa hata huna kazi na kipindi hicho mwanamke wako akawa na kazi. Sasa ukipata tatizo la kifedha ukamwambia ukakusaidia ila akawa...
  8. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Sina raha wife katoka clinic kuambiwa mimba ipo upande..

    acha utani bc kwa mambo ya msingi mkuu
  9. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    yule shayo wa himo ni noma
  10. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Pombe imekuletea madhara gani maishani mwako?

    mimi iliniletea BP
  11. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Sina raha wife katoka clinic kuambiwa mimba ipo upande..

    Naombeni ushauri wife ana mimba ya miezi 6 sasa katoka clinic ananiambia docta kuangalia kaona mimba ipo kwa juu upande sasa hii imenipa wasiwasi sana je tatizo gani linaweza kutokea na husababishwa na nini?
  12. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

    haaa yaani wewe hujui unavutiwa na nini unaishije
  13. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

    Hawa viumbe hawana formula hivi wasichana hupagawa na nini haswa kwa mwanaume. Mgegedo mkubwa? Handsome? Six pack? Pesa? Akili? Unene? Kitambi? Urefu? Utundu? Ubahili? Starehe? Usuper star? Au maana hawa viumbe hawaelewi kiukweli wapo kundi gani ebu tupeane uzoefu wa hawa viumbe maana wanaume...
  14. menya inganyi

    JamiiForums Tanzania kwa nini wanawake wazuri, wenye makalio makubwa hawadumu kwenye mahusiano au ndoa?

    ulishatafakari na kuwaza ukiwa mtaani, shule, au chuo mwanamke mzuri mrembo mwenye makalio makubwa huwa hawadumu kwenye mahusiano au hata wakiolewa wanaachika? hivi ni tabia zao huwa mbaya? au malezi yao kua mabovu? au ni mwanaume kuwa na tamaa za kimwili tuu kwao? na inasemekana baadhi yao...
Back
Top Bottom