Recent content by Meno

  1. Meno

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kwa lowassa hapatakuwa na nafas ya kupanga vit eka 3 kama walivyo fanya sisiem Pata simama watu nyatunyatu Jipe ufahamu utaona!
  2. Meno

    Ushauri wa bure kwa chama chetu cha ccm

    Kigumu chama cha .........
  3. Meno

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Mkuu @ kiranjamkuu Naomba nikupe taarfa Kazi kuu ya meno bandia ni 1. Muonekano (aesthetic or appearance) 2. Kufanya Kazi (function) Mara nyingi meno ya mbele (canine to canine) yana chukua kazi no 1 na yalio baki yanachukua kazi no 2. Ingawa yote yana kazi zote mbili
  4. Meno

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Ni kweli kahama. Taarifa ya awali ipo sahihi
  5. Meno

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Pole iron woman Kupata meno fixed ina hitaji meno orijino yalio mazima yachongwe ili kwa kushirikiana na ufizi ya bebe mabovu (ambayo yata fanyiwa tiba ya mzizi)na yale ambayo hayapo. NB. Position ya meno mazima ita 'detect' aina ya meno unayo takiwa kuweka.
  6. Meno

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Ikishakuwa bandia maana yake ina tegemea na 1.ustadi wa mtengenezaji na 2.utumiaji wa mvaaji. Kudumu pia inategemeana na mambo hayo 2 hapo juu. Hata kwa yale orijino kuwa makin pia
  7. Meno

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Kwa hilo hakuna shida mkuu,fika Muyas dental services ipo pemben na airtel,Morroco. Kuna wataalam wanaingiaga sa 10 jion had sa 1.watakusaidia mkuu
  8. Meno

    Msaada: Nataka kuweka meno ya bandia ya kudumu, inawezekana?

    Kuna meno bandia aina 2 1.Kuweka na kutoa(removable partial denture ) 2.ya kugandishwa na cement maalum. (Fixed partial denture) na kinatokezea kwenye ufizi na kuweza kutengenezewa aina hizo 2 za meno bandia tajwa hapo juu. Nashawishika unaulizia aina hii ya pili ya meno bandia (fixed...
  9. Meno

    CUF + CHADEMA +NCCR + NLD = UKAWA. Watake wa sitake lazima wata gombana tu.

    Ni kwel. Ila wabongo wa leo Sio wale wa juzi
  10. Meno

    Kwanini mbunge asifukuzwe kazi?

    Si shanghai Kwan walishapewa huo mwongozo na jeikei
  11. Meno

    Uzalendo ni nini?

    Mimi Naona ni lazma awe ame shirki vita vya ukombozi au ulinzi wa taifa lake. Vita ya damu na nyama na Sio maneno kama mwafulani !!
  12. Meno

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    Sijui kama hata umelala leo
  13. Meno

    Uhafidhina ni nini hasa? Maana yake inapotoshwa...

    Mmhhh zito? Unamaanisha zigo!! Loading .......
  14. Meno

    Usingizi hauna adabu

    Dah hizi folen zta tu uwa!
Back
Top Bottom