Watu wote duniani wanachembe za ubaguzi,ila kwakua umelete jambo hili kidini,sasa tazama haya: Sio kila mwarabu ni mwislamu.Huko Ujerumani,Itali na Hispania ni ngome za kikristu cha ajabu wachezaji mpira ambao ni waafrika wakifunga hufafnanishwa na manyani,je ndio ukiristu..Israel walianzisha...