Ukiwa member mpya huruhusiwi kuelezea chochote kwa lengo la kusaidia nchi yetu?! Mkuu tulia,huyo mzee kama kakutuma lazima akae maana atabanwa haswa. Lazima watu wanaoichafua nchi yetu kwa rushwa washughulikiwe
Mkuu wewe ni mgeni Tanzania?! Sio kila mtu ni mwaminifu. Namba hutoi kwenye ishu kama hizi kizembe zembe. Lazima ujiridhishe ni mtu yupi anataka namba na hatua zipi zinaelekea kuchukuliwa laah sivyo hatari imlangoni mwako. Bye theway kuna mtu atanifikia wiki kesho jumanne nitampa ushirikiano...
Soma nilichoandika kielewe,kama ni majungu nasemaje ufanyike uchunguzi ?Mkuu tulia kuna watu muhimu wamenicheki na wanashughulikia hii ishu nadhani tutakutana hapa baada ya ukwel kuwekwa wazi. Usibeze vitu kama hivi mkuu.
Anzeni uchunguzi ndio nitawapa ushirikiano wakutosha,anzeni kuwahoji Meneja wa Kanda na wafanyakazi mikoa husika plus makao makuu ya kanda. Hii issue ipo wazi sana. Ulizeni ni barua ngapi zimeletwa ofisi ya kanda zikilalamikia michakato ya manunuzi ilivyoharibiwa na mzee Kabendera then...
Kwanza kabisa naomba niwape pole nyingi kwa majukumu makubwa mliyonayo. Mungu awaongoze mtufikishe sehemu sahihi.
Pili naomba nitoe ombi langu la dhati kwenu kuhusu TANESCO hasa Kanda yangu ya Magharibi iliyo na ofisi mkoani TABORA.
Naomba niwafikishie malalamiko kuhusu mkuu wa kitengo cha...
Tanesco, naomba niwafikishie malalamiko kuhusu mkuu wa kitengo cha manunuzi kanda ya MAGHARIBI (WEST ZONE).
Huyu jamaa anaitwa KABENDELA na ofisi yake ipo TABORA akisimamia manunuzi mikoa ya KIGOMA,TABORA,KATAVI na SHINYANGA.
Huyu jamaa ni mtu anayerudisha nyuma shirika la umeme Tanesco...
Huyo jamaa ni afadhari. Kuna mtu anaitwa KABENDELA ni afisa manunuzi wa Tanesco Kanda, ofisi yake ipo MKOA WA TABORA,aisee huyu jamaa ni hatari sana. Jamaa ni mla rushwa balaa, jamaa ni tapeli sana. Hafuati taratibu za manunuzi wala nini? Anaweza akatoa barua ya LETTER OF INTENTION TO AWADR...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.