Meneja Ruler
Member
- Apr 2, 2021
- 9
- 2
Kwanza kabisa naomba niwape pole nyingi kwa majukumu makubwa mliyonayo. Mungu awaongoze mtufikishe sehemu sahihi.
Pili naomba nitoe ombi langu la dhati kwenu kuhusu TANESCO hasa Kanda yangu ya Magharibi iliyo na ofisi mkoani TABORA.
Naomba niwafikishie malalamiko kuhusu mkuu wa kitengo cha manunuzi kanda ya MAGHARIBI (WEST ZONE).
Huyu jamaa anaitwa KABENDELA na ofisi yake ipo TABORA akisimamia manunuzi mikoa ya KIGOMA, TABORA, KATAVI na SHINYANGA.
Huyu jamaa ni mtu anayerudisha nyuma shirika la umeme Tanesco katika eneo hili kupitia idara ya MANUNUZI.
Huyu mzee Kabendela ni mla Rushwa. Kiufupi hafuati taratibu za manunuzi wala taratibu zilizowekwa na mifumo ya MANUNUZI kwa maana ya TANEPs. Kwa mfano anaweza kutoa letter of intention to award kwa mzabuni X alafu baada ya siku chache akatoa barua nyingine kwa mzabuni P baada ya kuhaidiana 10%. Taarifa za malalamiko zimeshamfikia Meneja wa Kanda, na baadhi ya vyombo husika lakini hakuna hatua stahiki na sahihi zinazochukuliwa.
Hakuna mfanyakazi hata mmoja wa Tanesco ndani ya Kanda asiyejua tabia mbaya na ulafi wa mzee Kabendela. Hivyo basi kwa kuwapa taarifa hizi naomba mfuatilie malalamiko haya na mfanye uchunguzi wa suala hili ili mchukue hatua mnazoona zitafaa kisafisha shirika lenu la TANESCO hasa idara ya Manunuzi kanda ya Magharibi.
Mzee Kabendela amekuwa kitovu na alama ya Rushwa kwa kanda nzima ya MAGHARIBI. Hivyo naomba uchunguzi wa kuproove malalamiko yangu ufanyike na hatua mtahiki zichukuliwe kwa mtuhumiwa huyu bila kuonewa apewe haki yake.