Recent content by mendizoroza

  1. mendizoroza

    Azam nao washamba na hilo basi lao

    Sawa Africariers
  2. mendizoroza

    Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

    Kuna watu wa kuwacheka wakikimbiwa na mke lkn sio Bugatti,navyomuona yule jamaa hata afiwe na Baba au mama wiki tu anakuwa mtu yule yule wa kila siku sembuse mke? Yule jamaa labda akatike mikono au miguu ndo umcheke.
  3. mendizoroza

    Aishi Manula sikia hili

    Manula mbona amejitahidi sana kwenye kupoteza muda jana!!
  4. mendizoroza

    Bondia Abdallah Pazi 'Dullah Mbabe amesema kwa sasa anapumzika kupanda ulingoni

    Afadhali. Maamuzi mazuri dulla ukiwaendekeza Azam Christmas unaweza kuila na Magu kuzimu
  5. mendizoroza

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji35]
Back
Top Bottom