Recent content by Mende Mzee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    UN alifukuzwa nani amrudishe huko tena, na atoe maelezo ofisi inamwandaliaje mkutano na waandishi wa habari kwa pesa za umma kujibu shtuma zake binafsi, hizo pesa kwani ziliingizwa kwenye account ya wizara huo ni ufisadi mwingine
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    Tatizo makabilä mengine vijijini kwäö ni vijumba vya mbavu ya umbws na makuti na hakuna umeme walä bäräbärä
  3. M

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde aibu hii utaiweka wapi?

    Walikosea sana kumchangua huyo jamaa bora wangemchangua mzee malecela
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Professor Muongo alitoa ahadi umeme hautokatika ....umeme hakuna mtaani kwetu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Wametukatia Umeme hawa -------
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Kuna sinema inachezwa hapo hii issue itazimwa kimya kimya .....kuna kamchenzo kanaendelea kuwapumbaza wananchi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijulishwe sehemu ya kulala wageni Dar es Salaam kwa bei rahisi

    Nenda Tandale kwa Tumbo kuna lodge za bie rahisi, ila ukiamka asbh huna kitu uwempole
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi Kahama yachukua uhai wa baadhi ya abiria

    Ajali nyingi ni uzembe wa maderefa
Back
Top Bottom