Unadhan tz ina msaad gan katk hyo vta hata ingemuung mkono ukraine!ama maamz ya putin kuivamia ukrain yamechagzwa na tanzania!MIND YOUR OWN BIZNEZ,n statement fup yenye maan pana sana,ish humo.
Huyu jamaa anaongelea makomando wa kwenye movie za kimarekani akina RAMBO NA ANOLD,komando ni special force wala siyo big body,nyama zpo mpak kwenye sambusa pia komando mwili wake ni silaha...
Mbona hatari maskin akjfanya tajiri anabaki kuw maskin,mnyonge akjfanya ana uwez atabak kuw mnyonge maan hatopat alchostahil kukpat mnyonge na zaid atapew doz ya mwenye nguvu matokeo yake n overdosage na ktoweka kabisa mbele ya nyuso za wenye nguvu
Kimsingi na uhalsia,chama tawala na vya vya upnzani hukuza uhasimu zaid hat baad ya uchaguz hvo kfany raia wa vyama pinzan ktokukipenda na kuelew sera za cham tawala,kw jnsi hy mtu atokae chama pinzan ama chama tawala yupo tayar hata kushabikia jamb ambalo lnawez kuw ama ktokuw na ushahidi...
Kam mzungu altok bla mtut na alvyokuw kawekeza leo kundi la wamaasai kadhaa tutmie armed struggle,zko wap mbnu zlzotmika kumng'oa mkolon tutmie hat moja ama zte kam kund hl ndan ya nch lna ngvu na miziz kulko ya mkolon,hyo n kulnda maslah ya ndgu zet na nchi kw ujumla.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.