Makamba nilijua ni mweupe Ila sio kwa kiwango hiki. Kabisa hana majibu zaidi ya kusema Kama wanataka wamuue?
Mawaziri wote wanasemwa, Tamisemi, afya, maji, ujenzi, mambo ya ndani. Kwa nn yeye aone anaonewa?
Gesi kupikia? Kwa hawa ambao hata milo mitatu tu hawajui wanaipataje? Kwa mujibu wa world bank nusu ya watanzania ni maskini.
Gesi mimi mwenyewe imenishinda pamoja ni muajiriwa
Umemezwa na hizi propaganda? Hakuna ambae hapendi kutumia gesi Ila shida ni kumudu gharama. Huko vijijini kupata Milo mitatu tu shida, Leo ndio ataweza kujaza gesi ikiisha??
Kwa takwimu za world bank watu milion 30 ni maskini. Na hapa wanazungumzia wale maskini haswaa. Leo ndio utaweza kuwaambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.