Recent content by Membe S K

  1. Membe S K

    Said Mtanda: Dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, ni pande mbili za sarafu moja

    Mkuu wa mkoa hapa ameamua kutufunga kamba za kisasa. AMANI na HAKI kamwe sio pande mbili za sarafu. Hizi ni dhana mbili tofauti zenye nguvu tofauti zinazojitegemea. HAKI ni sheria ya kimkataba, AMANI ni moja tu ya matunda ya mkataba na sio chanzo cha HAKI. Ebu fikiria wanyama wa mwituni hawana...
  2. Membe S K

    Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa

    Kwa faida ya wengi ni kwamba sheria za kimataifa za UN zinataka wamiliki wa meli za kimataifa ksajili meli hizo kwenye nchi zao au kwenye nchi nyingine. Inchi inayosajili meli inakabidhi bendera yake ipeperushwe na meli hiyo. Hivyo basi nchi inawajibika kwa meli iliyoisajiri na meli...
  3. Membe S K

    Samia Suluhu Hassan has achieved more for Tanzania than any president since independence

    Is this thread up for discussion? Looks like the author killed it on delivery.
  4. Membe S K

    PostGE2025 No Negotiations, No Reconciliation without Resignations!

    I am not sure if I get the whole thing correctly. Please someone out there help me with the following questions: 1) Normally negotiations bring two well-known conflicting parties to the negotiation table. Who are those? 2) What exactly are we going to reconcile as of now as a country...
  5. Membe S K

    ARE WE NOT JUMPING THE GUN?

    If we are to restore justice and peace in our country we must deal with the root cause of the problem: the lack of internal and external political efficacy. That people no longer believe that their votes change anything let alone being valued. That people no longer believe that the government...
  6. Membe S K

    Our ex-ambassador is possibly bipolar and a mythomaniac pathological liar

    He needs psychiatric help at this point. In fact he is calling for it perhaps unknowingly. His party should had known from the start when he started a youth movement aimed at unleashing unguided madness to his party leadership and government officials shortly after the passing on of his boss...
  7. Membe S K

    Nitajibu upotoshaji wa ndugu Polepole juu ya uhusika wa hayati Bernard Membe (RIP) kwenye kifo cha hayati John Magufuli (RIP)

    Upotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
  8. Membe S K

    GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    I am not sure if I fully understand Mayalla's point. Is he predicting or reporting?
  9. Membe S K

    Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Ndio, compound interest inamnufaisha mwekezaji na kumsulubu mkopaji. Kimbia compound interest unapokopa kwasababu ukishindwa kulipa kiwango cha kila mwezi maana yake umejikopesha na kitajumlishwa na msingi wako na kitazaa mkopo mpya(mkubwa) mwezi unaofuata.
  10. Membe S K

    Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Kabisa! Compound interest inajikopesha hela ambazo huchukui na kukulipa riba hivyo kuongeza principal yako kila unapoacha kuchukua.
  11. Membe S K

    Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Unaweza ķufafanua vizuri swali lako? Maana compound interest ni function ya principal na inawakilishwa kama asilimia.
  12. Membe S K

    GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

    Now that the cat is away the mouce plays. It takes courage, fasting and prayers to forgive and forget psychological and emotional torture sadist Musiba inflicted to the late Membe and his family. A lesson is well learned that every title in this world is transitory and temporary in its very nature.
  13. Membe S K

    UNESCO: Kila $1 kwenye elimu ya mtoto wa kike inazalisha $3 kwenye GDP. Rais Samia katumia $47.8m kujenga shule za sayansi za wasichana

    Kama kwangu kuna kitu hakiko sawa wewe usijali. Jali hoja zangu juu ya kilichosemwa na UNESCO. Kama unataka tujuane hapa sidhani kama ni mahala pake.
  14. Membe S K

    UNESCO: Kila $1 kwenye elimu ya mtoto wa kike inazalisha $3 kwenye GDP. Rais Samia katumia $47.8m kujenga shule za sayansi za wasichana

    Nimekimbia mbio kusoma majibu ya hoja zangu, mara paah nakutana na swali juu ya wastani. Nipo hapa najiuliza: 1) Hoja kwamba kwa wastani kila mtanzania anapata sh 3,000, 000 ina uhalisia wowote? 2) Wastani wa kihesabu kwenye nadharia una maana gani kama hesabu hizo sio kiwakilishi cha REAL...
Back
Top Bottom