Recent content by Melubo

  1. M

    TANZIA: Aliekuwa mgombea ubunge jimbo la Ngorongoro kwa kupitia CHADEMA Afariki Dunia

    Hapana hauko sahihi..wewe ni tone kwa maji ya bahari.kwa mtazamo huo wa kutusi wafu ,utabaki mwenyewe.mzee parkipuny,kwa jamii yake ni kiongozi mzalendo na anatuachia legacy hiyo..jicho na mtazamo wako ni giza..ishia huko...
  2. M

    MTIZAMO: CCM Inadondoka...

    Kipengele hiki kimenigusa na naunga mkono.."Mitafaruku ndani ya CCM na Utendaji mbovu wa serikalini ndiyo adui wa uhai wa CCM"
  3. M

    Shivji: Walalahoi wasipopambana hawataipata katiba inayowaridhisha

    MwanaJf aliyekaribu na Prof Shivji amuombe HANDOUT(NONDO) YAKE..ITATUSAIDIA KUENEZA HABARI NJEMA KWA UMMA
  4. M

    Hasira hazijatosha, haiwezekani JK adharau na sisi tukae kimya..!

    Tanzania Will Not Be Destroyed By Those Who Do Evil, But By Those Who Watch Them Without Doing Anything.
  5. M

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Nimepitia list..inashangaza kuona majina mawili tu ya magamba..nilidhani EL,Sendeka.Six na Mwakymbe wangeongoza.....Wanasubiri nini hawa?
  6. M

    CCM kutosimamisha mgombea Arusha Mjini

    Matokeo ya Arumeru na baadae defection ya Bwana OleMillya imeleta mwamko na Ari na Ujasiri mwingi miongoni mwa Wananchi..Jamii za Wilaya ya WAMAASAI(NGORONGORO,MONDULI,KITETO,LONGIDO na SIMANJIRO) wanajiskia huru sasa kutamka Kuwa CCM si Mama wala BABA wao na hivyo kuhama waziwazi ni...
  7. M

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Hakika ni siku tofauti kwa historia ya nchi yetu....Ccm na gamba lao wamepata ujumbe nzito kuwa wananchi ndio wasemaji wa kuuu.Makali ya haya yaendelee come 2015...Tanzania bila ccm inawezekana!!!!! Nguvu ya Umma,sauti ya watu,sauti wa Mungu
  8. M

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    HOngera Movement for change..Watakera lakini daima tutaSHINDA
Back
Top Bottom