Mkuu sitaki kisema kuwa ninakipaji cha kusema kuwa wewe sio mtabiri ama ni mtabiri wa kweli.... lakini pia sipendi kutumia mifano ya akina brown, clinton n.k..... mm ngoja nisubiri octoba 25 nitarejea kusoma kokotooo zako.
Ninachojua mchuano ni mkali uwe ww wa ukawa ama wa chama chetu... bado...
Unazamaje sasa... kwani huyo Slaa alizaliwa ama amezaa CHADEMA...
Mtumbwi wa chama ni people... huyu ni kenge ktk msafara wa mamba.... kwani histotia dhidi yake haipo mbali wala
Hoja imekaa sawa
Wala hujamtukana mtu... na kwa uelewa wako huu mzuri.. lakini ndugu Kinana naye pia ametumia busara ya mwisho ya ueledi wake kuzungumza... ktk ulimwengu wa siasa uchaguzi wa maneno ni wa muhimu sana...
Lakini usisahau kuwa bwana ndugu lowasa amechanganya wengi hata kifikra
Haaahaaa wakuu
Kumbe ni wengi wanahuzunika na kingunge...
Cha msingi turejee maneno ya hayati Mwl mwaka 1995 dhidi ya huyu bwana Edward.. alisema kamati ilikuja na ikaondoa baadhi kwa hoja, je 2015 imekuaje?
Waadau na wasomi wenzangu mmenena... huyu jamaa aloleta hiyo stori ya lowasa kurasa na kurasa sizani km anasifa za kua hapo alipo... anachofanya ni asichokijua watu c ktk vitabu bali kihistoria tunajua vyema nn na nan hasa mhusika... ebu kijana kaombe ushauri kwa mkeo km hujamshirikisha kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.