Chanjo kama chanjo
Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo!
Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa mrefu kama tulivozoea kwenye chanjo za awali !
Aina ya chanjo za awali [ English ]
1 BCG vaccine (...
Chanjo kama chanjo
Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo!
Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa mrefu kama tulivozoea kwenye chanjo za awali !
Aina ya chanjo za awali [ English ]
1 BCG vaccine (...
Mzee! Binafsi hizi taarifa zinanipaa wasiwasi sana! Kwanza tukija kwenye hiyo graphene oxide, nimedhibitisha hii chanjo iliyoshuka hapa tz ina hizo content za graphene oxide! Alafu kibaya zaidi wameleta aina 3 za chanjo!
Hapo naona watu wakichanganya vaccine of which is very very dangerous...
Uko vizur sana! I wish people could see this! Yaan ni aibu mtanzania kukubali chanjo wakati anajua tanzania inafanya mambo yake yakuunga ungaa! Hatuna facilities za kuzuia hazards effects za vaccine
Hahahahahah mbn kama picha yako vile? Kwani haya maviatu ni vya pisi kali? Au ametokea mbagala kwa watu wa usafiri mgumu! Ndo kaona High heels hazifai! 😂😂
Samia Kaishiwa! Ccm hawana uwezo wa kaconvince wananchii ! Yaani akubali 2 katiba awe amejitia kitanzii! Na hatokaa apite 2025
Sasa kajibiwa kijanja na Askofu... Haya mambo ccm washakwama kitambo sana
Aaaaaiii ati uhoro! Unajua wananchi nimegundua mnawaza maeneo ya chini sana! Kama hauna bundle nikununulie ukapige nyetoo midaa ndo hii, au ushamaliza kutema ukaamua uzunguke Jf....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.